Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wanasheria nje ya jengo lamahakama kuu jijini dar es salam ikiwa ni maadhimisho ya siku ya sheria hapa nchini.
Rais jakaya Kikwete akihutubia katika amdhimisho hayo leo
Rais Kikwete katika mazungumzo na Jaji Mkuu Mohamed Chande, Jaji Kiongozi Mhei Jundu, Jaji January Msofe, Spika Anne Makinda, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Mathias Chikawe na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Mahakimu katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama ya Rufaa katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama Kuu Qkatika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini
Post a Comment