Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAMPUNI YA TZ PORTLAND CEMENT YAZINDUA MRADI WA UPANUZI WA KINU NAMBA 5 CHA KUZALISHA SARUJI DAR


 

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda (katikati) akizungumza katika hafla uzinduzi wa mradi wa upanuzi wa kinu namba tano cha kuzalishia saruji cha kiwanda cha Twiga Cement katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Pascal Lesoinne na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya TPCC, Jean Marc Junon.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda(katikati) akisaini katika ubao ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi wa upanuzi wa kinu namba tano cha kuzalishia saruji cha kiwanda cha Twiga Cement katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Pascal Lesoinne na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya TPCC, Jean Marc Junon.
Baadhi ya maofisa wa kampuni ya Twiga Cement wakiwa katika hafla
hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top