|
Mabondia Maneno
Osward (kushoto) na Japhert Kaseba wakitunishiana
msuli wakati wa
utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2
katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa |
|
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo
Njau katikati akiwanyoosha mikono juu mabonia Maneno Osward kushoto
na Japhert Kaseba wakati wa
kutambulisha mpambano wao wa
ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni
Kondoa |
|
Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Japhert
Kaseba wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa
Taifa Dar es salaam leo utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa
|
on Tuesday, February 5, 2013
Post a Comment