Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene
Meza(kulia)akimkabidhi Abella Tarimo, Meneja biashara wa Vodacom Tanzania zawadi
ya ngao na cheti kwa kuwa mfanyakazi bora katika kuunganisha idara zote kwa
wakati na utendaji kazi kiufanisi. Anaeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Idara
ya huduma kwa wateja Harrieth Lwakatare.
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko Vodacom
Tanzania wakiwa wameshikilia hundi yao yenye thamani ya $ 5,000 mara baada ya
kukabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw. Rene Meza (wa pili
kulia)kwa kuibuka wafanyakazi bora kwa mwaka 2012/13.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza wa
saba toka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kitengo cha
Jasiliamali watu mara baada ya zawadi ya ngao na cheti wakati alipokuwa
akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi bora wa kampuni
hiyo.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano ya
Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza,akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati
alipokuwa akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi bora wa kampuni
hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakimsikiliza
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo hayupo pichani akiongea nao wakati wa
kukabidhi zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi bora wa kampuni
hiyo.
Post a Comment