Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA OMAN MHE. YOUSUF BIN ALAWI BIN ABDULAH IKULU DAR LEO

 


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimkaribisha ikulu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufalme wa Oman Mhe.Yousuf bin Alawi bin Abdullah wakati waziri huyo alipomtembelea na kufanya naye Mazungumzo.
 Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya nje wa Oman Mhe.Yousuf Bin Alawi bin Abdullah ikulu jijini Dar es Salaam leo.
-Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Mhe.Yousuf Bin Alawi bin Abdullah(kushoto) baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wengine ni wajumbe waliofutana na Waziri huyo. Picha na Freddy Maro
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top