Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Akutana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Mallalla Mubarak Al Ameir


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Mallalla Mubarak Al Ameir alipofikaIkulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Mallalla Mubarak Al Ameir,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-zanzibar
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top