Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA: Mbowe akutana kwa Dharura na Mkuu wa Jumuiya ya Ulaya Nchini

 


MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amefanya mazungumzo ya Faragha na Mkuu wa Jumuiya ya Ulaya (EU) nchini, Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi. Viongozi hao walikutana kwa ajili ya mazungumzo kwenye kikao kifupi, juzi jioni, mjini Dodoma, kujadili masuala mbalimbali nchini.Mbowe amekutana na kiongozi huyo huku kukiwa na sintofahamu kubwa kati ya Spika Anne Makinda na wabunge wa CHADEMA katika kile kinachopingwa na chama hicho kutokana na uonevu wa waziwazi unaoonyeshwa na kiti cha spika kwa wabunge wa CHADEMA.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top