Baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya
Muungano wakielekea katika mkutano wa kumi kikao cha saba leo mjini Dodoma
(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
Mbunge wa Moshi Mjini Philemon
Ndesamburo (kulia) na Christowaja Mtinda (Viti Maalumu) wakielekea katika ukunbi
wa Bunge – Dododma leo (Picha na Mwanakombo
Jumaa-MAELEZO).
Naibu Waziri wa Maendeleo ya
Jamii na Jinsia ya Watoto Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali za Wizara yake
Bungeni leo.
Post a Comment