Waziri wa Nishati na
Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akikabidhi leseni ya uchimbaji madini kwa
Bw. Roman Lyaruu kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha
Itewe wilaya ya Chunya. Mhe. Waziri alisisitiza wachimbaji wa madini kulipa kodi
zote zinazotozwa na Mamlaka za Serikali ikiwemo mrabaha wa asilimia
nne.
Loading...
Post a Comment