Leo Waendesha Daladala
au Vifodi jijini Arusha Mjini wamegoma kuishinikiza Halimashauri ya jiji ya
Arusha mjini kuweka vituo vinavyoeleweka kutokana na kusumbuliwa mara kwa mara
na matrafiki wa jiji la Arusha.
Madereva waliogoma ni
kwa upande wa Njiro,Kijenge,Mbauda,Majengo,Sombetini na sehemu mbalimbali za
Arusha Mjini.
Mwandishi wetu alifanya
maojiano na baadhi ya madereva wa daladala wamesema wamechoshwa na kamatakamata
ya hapa na pale.
Pia wameishutumu Uongozi
wa jiji la Arusha kuuza vituo vya mwanzo vya kushusha na kupandisha abilia
walivyokuwa wanatumia kwa kipindi cha mwanzo kwa wahindi kuwa paking
zao
Post a Comment