MKUU WA WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA DR. MICHAEL KADEGE AKIONGEA NA WANAKIJIJI CHA MLOWO MBOZI |
BAADHI YA WANAKIJIJI WA MLOWO WAKIMSIKILIZA MKUU WA WILAYA HIYO |
WANAUSALAMA WAKIWA MAKINI KWA LOLOTE LITAKALOTOKEA |
MWANASHERIA WA HALMASHAURI YA MBOZI AKIFAFANUA MOJA YA SHERIA ZA HALMASHAURI HIYO |
YEYOTE ATAKAEZOMEA NAMTUPA NDANI HAPA NDIPO HALI YA HEWA ILICHAFUKA KWA WANAKIJIJI WA MLOWO KUMSIKIA MKUU WILAYA AKITAMKA HIVYO |
MOJA YA WANAKIJIJI AKIMFUATA MKUU HUYO KUMPOKONYA KIONGELEO YAANI KAZI KUBWA |
BAADHI YA WANAKIJIJI HICHO CHA MLOWO WAKITULIZWA NA BAADHI YA VIONGOZI WA KIJIJI HICHO WAPUNGUZE JAZBA |
TUMECHOKA KUTUFANYA SISI WATOTO |
MKUU WA WILAYA AKISHAURIANA NA MOJA YA WANAKAMATI YA ULINZI NA USALAMA MAANA MAELEWANO HAKUNA TENA KWENYE MKUTANO HUO |
WANAKIJIJI HAOO WANAONDOKA MKUTANO UMEVUNJIKA HAKUNA JIBU KAMILI LILILOPATIKANA HAPO |
WAKUU HAOOO NAO WANAONDOKA |
WANAUSALAMA WAKIONDOKA KATIKA MKUTANO ULIOVUNJIKA |
Post a Comment