Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais
Jackob Zuma wa Afrika ya kusini mwishoni mwa ziara yake ya kikazi ya siku mbili
nchini humo ambapo alihudhuria mkutano wa vyama vilivyokuwa mstari wa mbele
katika harakati za ukombozi kusini mwa Afrika na pia aliongoza kikao cha kamati
ya ulinzi na usalama cha Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika SADC Troika
jana.(picha na Freddy Maro)
Loading...
Post a Comment