Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Elimu Dkt.Shukuru Kawambwa(kulia),Balozi wa Korea ya Kusini Mhe.Chung (wapili kulia),Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Sadik Meck Sadik(Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA Injinia Zebadia Moshi (kushoto) wakikata utepe kufungua rasmi Chuo Cha TEHAMA VETA huko Kipawa jijini Dar es Salaam leo .Picha na Freddy Maro
Loading...
Home » Unlabelled » RAIS KIKWETE AFUNGUA CHUO CHA TEHAMA VETA KIPAWA NA AWEKA JIWE LA MSINGI KUZINDUA UJENZI WA TAASISI MIFUPA NA MISHIPA YA FAHAMU HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM LEO
Post a Comment