Waziri mkuu Mh.Mizengo
Pinda akimkabidhi tuzo ya shukrani kwa Mkurugenzi wa Tigo Tanzania Diego
Gutierrez kwa ajili ya mchango wao katika kuwaletea wananchi huduma ya sms
ambayo itawawezesha wananchi kujua hali za figo zao popote walipo kupitia simu
zao za mkononi.
on Tuesday, March 19, 2013
Post a Comment