Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda akisalimian na Rais wa Shirikisho la kuendeleza kilimo na chakula
(IFAD), Dr. Kanayo Nwanze wakati alipotembelea Makao Makuu ya IFAD Mjini Roma ,
Italia hivi katibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akitetea na Kiongozi wa Kampuni ya China Merchant Group Limited, Dr.Fu Yuning
baada ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi
23,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
on Monday, March 25, 2013
Post a Comment