Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
na Mkewe Tunu wakifanya mahojiano na mtangazaji wa Radio Vatican, Padri Richard
Mjigwa (katikati) kweye moja kati ya studio za Raido hiyo Mjini Roma
walikohudhuria sherehe za kusimikwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa
Francis 1 Machi 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Picha juu na chini Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiongozwa na Padri Alquine Nyirenda wa
Makao Makuu ya Shirika la Watawa wa Benedikti, Roma kutoka kwenye Kanisa Kuu la
Mtakatifu Petro la Roma walikohudhuria sherehe za kumsimikwa kiongozi wa
Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis 1 kwenye viwanja vya Kanisa hiloMachi
19,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
na mkewe Tunu (wapili kulia) wakipata maelezo kuhusu historia ya Kanisa Kuu la
Mtakatifu Petro la Roma kutoka kwa Padri Alquine Nyirenda wa Makao Makuu ya
Shirika la Watawa wa wa Benedikti, Roma walikohudhuria sherehe za kusimikwa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Machi 202013. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula
(FAO), Jose Graziano da Silva wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo
Mjini Roma, Machi 20, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula , FAO, Bw. Jose Graziano
da Silva kutia saini katika kitabu cha wageni mshuhuri wakati alipotembelea
Ofisi za FAO mjini Rome Machi 20, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa, FAO
Bw. Jose Graziano da Silva baada ya mazungumzo yao wakati alipotembelea makao
makuu ya FAO mjini Roma, Machi 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Post a Comment