Meneja wa Kinywaji cha
Grand Malt,Consolata Adam (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kwenye
ukumbi wa Mikutano wa TBL Ilala jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza
tuzo za wanafunzi wa elimu ya juu zijulikanazo kama “Excel with Grand Malt”,
zinazota katika Chuo mbali mbali hapa nchini ikiwa ni mwaka wa tatu
mfululizo.Uzinduzi wa Tuzo hizo utaanza rasmi leo siku ya jumamosi April
20,kwenye viwanja vya Chuo kikuu Ardhi,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Dorice Malulu.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Duniani Leo1 hour ago
-
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-



Post a Comment