Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JAMANI, KANGA MOKO NI HATARI TUPU




Hawa ni kanga moja pia walikuwa ndani wakazi wa mapokezi ya msanii wa mziki DIAMOND kanda ya ziwa.Bila wasiwasi wakicheza kwenywe gari ya .bila kujali walikuwa wanacheza mbele watoto.Kwa hali tunajenga vipi watoto wa kitanzania.Mamlaka husika ni vizuri wakachukua hatua mara moja ili kuwalinda watoto wadogo na kulinda maadili ya mtanzania.
Hawa nao ni wasanii wengine wa kanga moko wa kanda ya ziwa walioamua kuporomosha show hii ya uchafu kipinfi hiki cha pasaka mjini bukoba,Huu ni udhalilishaji na ni sababu ya kupelekea kuongezeka kwa maambuki ya ugonjwa hatari wa ukimwi.,





haatariiii

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top