|
Katika
tukio lingine lililotokea Jijini dar....matanki mawili yenye ujazo wa lita
5,000... Jana yalidondoka Mjini Mitaa ya Indhira
/Ghandhi kutoka juu ya jengo la ghorofa 13 na kuvunja nyumba ya
Jirani...!!
Tanki hizo zilikuwa zinafungwa juu ya ghorofa ilo na matanki
hayo alikuwa ayajawekewa vizuizi vyovyote na mkandarasi....
Naomba
kuuliza wadau....,Matanki ya lita ngapi yanahitajika kwenye na kuruhusiwa
kisheria Juu ya Maghorofa...?? na kwenye tukio kama hili nani
awajibishwe...?? CRB,MKANDARASI AU MMILIKI WA
JENGO? |
|
SEHEMU
YA JUU YA NYUMBA YA JIRANI ILIYOARIBIWA NA UZITO WA MATANKI HAYO....
|
on Saturday, April 13, 2013
Post a Comment