Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akizungumza na wageni mbalimbali waliomtembelea meza yake kwenye banda la Tanzania katika maonyesho ya utalii ya COTMM 2013 jijini yanayofanyika jijini Beijing China
Mkurugenzi
wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akimkabidhi
jarida maalum la kampuni yake ya Flightlink ofisa wa ubalozi wa Tanzania
nchini China wakati alipotembelea katika banda la Tanzania


Post a Comment