Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo (DED) Bw
Nasibu Mmbaga akifafanua jambo katika kikao cha Baraza la madiwani la
Halmashauri ya Biharamulo leo, kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri
hiyoKaimu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
ambaye pia ni diwani wa kata ya Kalenge Mhe Laurent Kakuru akiwasilisha hoja
mbalimbali katika kikao
hicho
Loading...
Post a Comment