Maonyesho ya ndege za kivita yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakiongozwa na Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa wakiwemo mabalozi wa nchi mbalimbali nchini.(PICHA NA IKULU)
Loading...
Home » Unlabelled » MAONYESHO YA NDEGE ZA KIVITA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 49 YA MUUNGANO LEO YALITIA FORA SANA
Post a Comment