Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI CCM ZANZIBAR


IMG_9749
Wajumbe wa mkutano wa majumuisho ya Ziara ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,aliyoifanya katika Wilaya za Mjini
na Amani,mkutano huo uliwajumuisha viongozi mbali mbali Halmashauri za
Mikoa na Wilaya CCM,wakisikiliza kwa makini nasaha alizozitoa Makamo
huyo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani jana,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_9758
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai,akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,aliyoifanya katika Wilaya
za Mjini na Amani,mkutano huo uliwajumuisha viongozi mbali mbali
Halmashauri za Mikoa na Wilaya CCM,katika ukumbi wa CCM Amani
jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9761
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,alipokuwa akizungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja
katika Mkutano wa majumuisho ya Ziara aliyoifanya katika kuimarisha
Chama cha Mapinduzi nadani ya Mkoa iliyomalizika jana,katika Ukumbi wa
CCM Mkoa Amani,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top