bak1:
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt
Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia
upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla ya
harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es
salaam. PICHA
NA IKULU
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti wa Tanzania
Sheikh Issa bin Shaaban Simba, KATIBU
Mkuu wa Baraza
la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA),
Sheikh Suleman Lolila (wa pili kulia), Kadhi
Mkuu Sheikh Abdallah Mnyasi (kulia) na Shehe wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj
Alhad (kushoto) wakiomba dua baada ya harambee kusaidia upanuzi na maendeleo ya
Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla iliyofanyika Jumamosi usiku
katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
bak2:
Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba akimshukuru Mwenyekiti wa
Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa
ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain
kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena
jijini Dar es salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald
Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 na Mwenykiti wa NCCR-Mageuzi Mhe
James Mbatia aliyechangia shilingi milioni mbili kwa ajili ya kusaidia upanuzi
na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye harambee iliyofanyika
Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika harambee ya kusaidia upanuzi na
maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain iliyofanyika Jumamosi usiku
katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Post a Comment