matukio ya sherehe za
mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI), zilizofanyika leo mchana katika
viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam. Chuo
cah Mafunzo ya Jinsia (GTI) leo kimetoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia
katika ngazi ya cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la
Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika.
Matukio ya sherehe za
mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI), zilizofanyika leo mchana katika
viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam. Chuo
cah Mafunzo ya Jinsia (GTI) leo kimetoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia
katika ngazi ya cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la
Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika. Picha zote zimeandaliwa na
mtandao wa www.thehabari.com.
Post a Comment