Meneja
mahusiano wa Airtel-Tanzania akimsikiliza mmoja wa wakazi wa mji wa
Chalinze-Mkoa wa Pwani namna anavyoweza kujiunga na kuitumia huduma mpya
ya Airtel Yatosha,wakati wa tamasha la uzinduzi wa huduma hiyo yenye bei nafuu ,lililofanyika mkoa wa pwani kwa siku wa mbili (Jumamosi & Jumapili), katika viwanja vya sokoni chalinze.
Anaitwa
Sir Juma Nature a.k.a Kibra akiongoza mashambulizi makali ya kundi lake
la TMK-Wanaume Halisi kama umuonavyo jukwaani mbele ya umati mkubwa wa
wakazi wa mji wa Chalinze-Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki,wakati wa
tamasha la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha,lililofanyika mkoa wa pwani kwa mda siku wa mbili (Jumamosi & Jumapili), katika viwanja vya sokoni chalinze.
Mmoja
wa wasanii mahiri wa Hip hop kutoka kundi la Tip Top
Connections,ajulikanaye kwa jina la kisanii,Madee a.k.a Rais wa Manzese
akionesha umahiri wake wa kukamua vilivyo jukwaani mwishoni mwa
wiki,wakati wa tamasha la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha,lililofanyika mkoa wa pwani kwa mda siku wa mbili (Jumamosi & Jumapili), katika viwanja vya sokoni chalinze.
Msanii
wa miondoko ya muziki wa kizazi kipya,hip hop,Fid Q pamoja na Meneje
Mauzo wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel Kanda ya pwani ,Bwa.Aluta
Kweka wakimkabidhi fulana mmoja wa mashabiki wa Chalinze,kwa kuimba
vyema mashairi ya msanii Fd Q.
Sehemu ya wakazi wa mji wa Chalinze-Mkoa wa Pwani wakishuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha,lililofanyika mkoa wa pwani kwa mda siku wa mbili (Jumamosi & Jumapili), katika viwanja vya sokoni chalinze.
Mmoja
wa wasanii mahiri wa Hip hop nchini,ajulikanaye kwa jina la kisanii,ney
wa Mitego akitumbuiza jukwaani mwishoni mwa wiki,wakati wa tamasha la
uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha,lililofanyika mkoa wa pwani kwa mda siku wa mbili (Jumamosi & Jumapili), katika viwanja vya sokoni chalinze.
Baadhi ya mawakala wakiendelea kuwasajili wateja wa Airtel kupitia huduma zote zitolewazo na kampuni hiyo,ikiwemo huduma ya .Airtel Yatosha,ambapo Mteja anajiunga kwenye huduma hiyo kwa kupiga *149*99#.
Post a Comment