MMOJA WA DEREVA KATI WA
LORI AKIWA AMEKAA CHINI BAADA YA KUVUNJIKA MIGUU KISHA MUDA MFUPI KUFARIKI DUNIA
KATIKA BARABARA KUU YA MOROGORO-PWANI ENEO LA BWAWANI MKOA WA PWANI AMBAPO WATU
WATATU WALIFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUTOKEA AJALI YA LORI NA TANKI LA
MAFUTA KUGONGANA USO KWA USO MARCHI 31/ 2013.
LORI LIKIWA LIMEANGUKA NA
KUHARIBIKA VIBAYA BAADA YA KUTOKEA AJALI HIYO.
LORI LIKIWA LIMEZIBA
BARABARA BAADA YA KUTOKEAA AJALI HIYO NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA KWA MAGARI
YALIYOKUWA YAKITUMIA BARABARA HIYO KUTOKA KWENDAA DAR ES SALAAM NA
MOROGORO.
Post a Comment