Siku
moja baada ya kituo cha ITV kuonesha mzozo uliosababisha askari wa usalama
barabarani kuwa katika wakati mgumu kutokana na kukunjwa na raia wakati akiamua
ugomvi baina ya madereva wawili baada ya kutokea ajali , jeshi la polisi mkoa wa
kipolisi Kinondoni limelaani na kutoa onyo kali na kuongeza kuwa tukio hilo
limelidhalilisha jeshi la polisi na kwamba
halivumiliki
Loading...
Post a Comment