WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 15/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
|
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika
Maeneo machache na vipindi vifupi vya jua
| |
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Iringa]:
[Mkoa wa Ruvuma ]
|
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
| |
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro (Kusini) ]:
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
1836
|
D'SALAAM
|
32°C
|
1823
|
DODOMA
|
28°C
|
1837
|
KIGOMA
|
30°C
|
1902
|
MBEYA
|
27°C
|
1845
|
MWANZA
|
28°C
|
1850
|
TABORA
|
29°C
|
1850
|
TANGA |
33°C
|
1825
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
1823
|
PEMBA
|
31°C
|
1825
|
MOROGORO
|
29°C
|
1832
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya kaskazini na utavuma kutokea kusini mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa.
Hali ya bahari:Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo hadi makubwa kiasi...
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatatu 15/04/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 15/04/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Post a Comment