Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Abdallah Hemedy(kulia)akifuatilia moja ya namba ya simu ya mshindi wa Promosheni ya"MAHELA" inayooneshwa na Meneja uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(katikati) Mshindi huyo aliejishindia kitita cha shilingi Milioni Tano,ni Bw.Kibwana Kitogo ambae ni mkazi wa Handeni Tanga,anaeshuhudia kushoto ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Tanzania,Bw.Benjamin Michael
Msaidizi wa Ofisa Mkuu wa kitengo cha biashara-M-PESA, Alishi Lushiku akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa Promosheni ya Mahela Bi. Rose Furahisha, ( 61 ) mkazi wa Kiwalani jijini Dar es Salaam, aliejishindia shilingi milioni moja kupitia promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania. Anayeshuhudia ni Mume wa Bi. Rose bwana, Furahisha
Baadhi ya waandishi wa habari wakifatiliajambo kwa umakini wakati wa kuchezesha Promosheni ya MAHELA inayoendeshwa na Vodacom Tanzania.: chanzo Matina Nkurlu.


Post a Comment