Mkuu
wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Benki ya Barclays Tunu
Kavishe,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam
jana,wakati wa kukabidhi hundi ya Sh 61 Milioni kwa Chuo cha Utabibu
Baylor,ili kusaidia vijana wanaoishi na Virusi vya Ukimwi,kushoto ni
Mkurugenzi wa Mradi wa Baylor Dk Lumumba Mwita.
Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Benki ya Barclays Tunu
Kavishe,akikabidhi hundi ya Sh 61 Milioni kwa Mkurugenzi wa Mradi wa
Chuo cha Utabibu Baylor Dk Lumumba Mwita(kushoto)wakati wa makabidhiano
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana,ambapo fedha hizo zitasaidia
vijana wanaoishi na Virusi vya Ukimwi.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
Post a Comment