Kufuatia kuzuiliwa kwa raia wa kigeni (UEA) nchini Tanzania wakihusishwa
na kadhia ya mlimpuko wa Bomu huko Arusha....UAE imeitaka Tanzania
kuomba radhi kwenye Vyombo vya habari...na wamekwenda mbali hata
kutishia kuvunja uhusiano wa kibalozi. Leo Waziri Membe kutua Arusha
Source: Wakili wa ndugu wa familia akizungumza na BBC
Post a Comment