Sharon Mariwa Meneja Muenezi Biashara Brainstormusic,
Caroline Kakwezi, Meneja Masoko wa Heineken Tanzania na Uche Unigwe – Mkurugenzi
Mkuu na Cpwaa msanii maarufu wakishikana mikono na Mkurugenzi wa Heineken
Tanzania baada ya kusaini mkataba wa kuteuliwa kuwa msimamizi na MC wa michuano
ya mpira wa mezani (Foosball) kulia ni Ronald Louis Meneja Opereshini wa
Brainstormusic.
Cpwaa, msanii maarufu na wakimataifa wa Bongoflava
akisaini mkataba wa kuteuliwa kuwa msimamizi na MC wa michuano ya mpira wa
mezani (Foosball) nchini Tanzania, pamoja naye ni Caroline Kakwezi meneja masoko
wa Heineken Tanzania na Uche Unigwe Mkurugenzi wa Heineken Tanzania
Sharon Mariwa Meneja Muenezi Biashara Brainstormusic,
Caroline Kakwezi, Meneja Masoko wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe – Mkurugenzi
Mkuu wa Heineken Tanzania, kulia Cpwaa na Ronald Louis Meneja Opereshini wa
Brainstormusic.
--
Msanii maarufu wa kimataifa wa muziki wa kizazi kipya
CPwaa ateuliwa na kampuni ya bia Heineken Tanzania kusimamia michuano ya mpira
wa mezani (Foosball) pamoja na kutangaza na kuhamasisha mchezo huo wakati wa
mashindano ambayo ni endelevu.Mpango huo ulikamilishwa kati ya kampuni ya
Brainstormmusic & Media Co. Ltd na Heineken Tanzania
Limited
Post a Comment