Mwenyekiti
wa Jukwaa la Katiba Tanzania Mhe, Deus Kibamba (katikati)akizungumza na
waandishi wa habari jana katika Makao makuu ya Jukwaa hilo jijini Dar
es Salaam juu ya swala zima la Mchakato wa kutafuta Katiba Mpya.(kulia)
ni mratibu wa jukwaa la katiba Diana Kidala(kushoto)mjumbe wa kamati
ongozi ya jukwaa Y,P,C kibaha pwani.Israel Ilunde.
(PICHA NA PHILEMO SOLOMON WA FULLSHANGWE blog)
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa umakini Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Ndugu. Deus Kibamba wakati akieleze mchakato wa huo.
Post a Comment