Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwenye hafla ya kuchangisha fedha
kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership leo Mei 3, 2013 Ikulu jijini
Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washikadau toka katika mashirika binafsi na ya umma
walioalikwa katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership.
Post a Comment