Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) Amon Chakushemeire (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari juu ya Siasa za vyama na vurugu vyuoni na hali ya usalama kwenye maeneo ya vyuo ambapo amesema matukio ya uhalifu katika mazingira yanayozunguka taasisi nyingi na za elimu ya juu yanaonekana kuongezeka huku wanafunzi wakifanyiwa madhila kama vile kubakwa (IFM iliyoripotiwa Januari 14, 2013), kuibiwa tarakirishi (kompyuta), simu na mali zingine na wengine kujeruhiwa vibaya na hata kuuawa (St. John, mfano tukio la Januari 20 2013 ambapo Lidya Leo Mzima alibakwa na kuuawa. Kulia ni Mhazini wa TAHLISO Ignatus Mponji.
Maandalizi ya Mkutano Mkuu CCM Yashika Kasi..
33 minutes ago
Post a Comment