Kamishna
Msaidizi Mwandamizi na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed
Mpinga akisisitiza umuhimu wa elimu ya huduma kwa mteja kwa watoa huduma
za usafiri nchini, alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es
salaam .
Mwenyekiti
wa Shirika linalojihusisha na utoaji wa Elimu ya Huduma kwa wateja Kwa
wasafirishaji nchini (SEUTA) Hussein Mhita, akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu uzinduzi wa mafunzo ya huduma kwa mteja. Kushoto kwake ni
Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini Mohamed Mpinga.
Post a Comment