Katibu
mwenezi wa chadema wilaya ya mbeya vijijini Jackson Mwasenga ambaye pia
ni mwenyekiti wa Kitongoji cha mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi
akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya
kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Post a Comment