Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Asha Balozi na Wake wa Wabunge na Wawakilishi wa CCM watoa mchango wao kwa WanaCCM Kaskazini Unguja.



MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi mifuko ya saraju na fedha tasilim Katibu wa Halmashauri ya Tawi hilo Mussa Nyange, kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa tawi lao




 
 WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi Tawi la Bwereu wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar akiwahutubia na kutowa nasaha zake, wakati alipofika na Ujumbe wa Wake wa Wawakilishi na Wabunge kukabidhi saruji na fedha kwa ajili ya kukamilisha tawi lao kama walivyoahidiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Shein alipokuwa katika ziara ya kutembelea matawi ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 WAKE wa Wawakilishi na Wabunge CCM, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akihutubia, wakati alipofika katika kijiji cha Bwereu, kukabidhi Saruji na Fedha tasilimu kwa ajili ya kumalizia Tawi la CCM Bwereu.


MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi msaada wa Saruji,Matofali, Mchanga na misahafu Mwalimu Dawa Vuai Haji, kwa ajili ya madrasa hiyi. Na kufanya harambee ya kuchangia fedha kwa ajili ya mafundi na kupatika kiasi cha shilingi laki tano. Katika harambe hiyo.






Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top