Mgeni
rasmi Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (wa tano kutoka kushoto) akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi viongozi wakuu wa TAPSEA pamoja na
waratibu wa Kongamano hilo la Makatibu Muhtasi Tanzania lililofanyika leo kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwezeshaji na Uwekezaji,ambaye pia ni mlezi wa TAPSEA.Dkt Mary Naguakimkabidhi
zawadi ya kinyago mgeni rasmi,Mke wa Waziri Mkuu,Mh.Mama Tunu Pinda
,shoto kwake ni Mwenyekiti wa TAPSEA,Bibi Pili Mpenda wakati wa
Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania.
Mgeni rasmi,Mke wa Waziri Mkuu,Mh.Mama Tunu Pinda akifungua Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania,lililofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC ..
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwezeshaji na Uwekezaji,ambaye pia ni
mlezi wa TAPSEA.Dkt Mary Nagu akizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa
mbalimbali waliofika kwenye kongamano tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania,lililofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Mh.Sofia Simba akizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa mbalimbali kwenye
mkutano wa Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania,uliofanyika mapema leo kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
mkutano wa Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania,uliofanyika mapema leo kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
Sehemu
ya meza kuu ndani ya mkutano wa kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi
Tanzania lililofanyika leo kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa
jijini Arusha-AICC,kutoka kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii
Jinsia na Watoto,Mh.Sofia Simba,Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri
Mkuu,Uwezeshaji na Uwekezaji,ambaye pia ni mlezi wa TAPSEA.Dkt Mary
Nagu,Mgeni rasmi wa Kongamano hilo la TAPSEA,Mke wa Waziri
Mkuu,Mama Tunu Pinda,Mwenyekiti wa TAPSEA,Bibi Pili Mpenda pamoja
naNaibu Waziri wa katiba na sheria ambaye pia ni Mshauri wa masuala ya
sheria na kazi waTAPSEA,Bi.Angella Kairuki.
Pichani
ni sehemu ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye kongamano la
tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania lililofanyika leo kwenye kituo cha
mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC.
Pichani
juu ni sehemu ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye kongamano
la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania lililofanyika leo kwenye kituo cha
mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC.
Baadhi
ya wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali wakijiandikisha tayari kwa
kushiriki kwenye kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania
lililofanyika leo kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini
Arusha-AICC.
Mwenyekiti
wa TAPSEA,Bibi Pili Mpenda akimkaribisha mmoja wa wageni maalum wa
kongamano hilo,Naibu Waziri wa katiba na sheria ambaye pia ni Mshauri wa
masuala ya sheria na kazi waTAPSEA,Bi.Angella Kairuki alipokuwa akiwasili kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
Mwenyekiti wa TAPSEA,Bibi Pili Mpenda akimkaribisha Mgeni rasmi,Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda alipokuwa akiwasili mapema leo kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
Wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano ambao Kongamano la kwenye kituo cha mikutano cha kongamano
la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA), lililofanyika leo
kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
Mgeni
rasmi,Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (wa pili kushoto) pamoja na
wageni waalikwa wengine wakitazama ngoma ya kimasai iliyokuwa
ikitumbuiza nje ya jengo la mikutano la AICC kabla ya mkutano wa
Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania kuanza.
Post a Comment