MENU
HOME
Contact Us
Featured
KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light
Featured Posts
Loading...
Home
»
Unlabelled
»
MWANAUME ALAZWA WODI YA WANAWAKE
MWANAUME ALAZWA WODI YA WANAWAKE
Stor: Imalda Mtema
Katika hali ya kushangaza, mwanaume mwenye asili ya Kiarabu aliyetambulika kwa jina la Karina Mohamed (20), aliwaacha midomo wazi madaktari, wauguzi na wagonjwa wa Hospital ya Amana, jijini Dar baada kulazwa katika wodi ya wanawake akidhaniwa ni mwanamke.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mgonjwa huyo alilazwa hospitalini hapo Aprili 24, mwaka huu ambapo alifikishwa na dada mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja huku akiwa hajitambui, akiwa amevalia mavazi ya kike hivyo madaktari kuamua kumlaza katika wodi ya wanawake.
Chanzo chetu kilizidi kueleza kwamba baada ya mgonjwa huyo kupelekwa wodini, hakuna hata mgonjwa mmoja aliyeweza kumtambua kuwa ni mwanaume kutokana na maumbile yake kufanana kabisa na ya kike lakini wakati madaktari wakiendelea kumhudumia, Aprili 25 akafariki dunia.
Imeelezwa kuwa baada ya kuzidiwa sana, mhudumu wa hospitali hiyo alipotaka kumuwekea mpira kwa ajili ya kujisaidia haja ndogo ndipo aliposhtuka baada ya kubaini kuwa ana jinsia ya kiume tofauti na alivyodhania.
“Kitendo kile kilimshangaza sana muuguzi huyo na kudondosha kila kitu alichokuwa nacho mkononi huku akisema: Huyu mgonjwa mwanaumeee jamani.”
Mara baada ya waandishi wetu kupewa taarifa, walifika hospitali hapo na kuonana na katibu wa hospitali hiyo aliyejitambulisha kwa jina la Tunu Mwachali ambaye alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa suala hilo lipo mikononi mwa polisi.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kipolisi Ilala, Marietha Minangi alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kudai kuwa mgonjwa huyo alifikishwa hospitalini hapo Aprili 24, mwaka huu na kulazwa wodi namba 2 ya wanawake na kufariki dunia akiwa anapatiwa huduma na kuongeza kuwa ndugu zake bado hawajafahamika ila jeshi linaendelea na uchunguzi.
on Sunday, May 5, 2013
Post a Comment
CodeNirvana
«
Newer Posts
Older Posts
»
BLOG RAFIKI
Global Publishers
TP Mazembe Yaaga Mashindano Ligi ya Mabingwa Afrika
59 minutes ago
Mtanzania
Azaki Zawasilisha Maoni ya Maboresho ya Dira 2050 kwa Tume ya Mipango
9 hours ago
MICHUZI
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
11 hours ago
Voice of America
Tunaangalia hatari za kubadilisha rangi yako ya Ngozi inavyokuza wasiwasi wa afya.
12 hours ago
MTAA KWA MTAA
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA
12 hours ago
JIACHIE
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA
12 hours ago
CCM Blog
DK. NCHEMBA AAGANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI, ASEMA TANZANIA INATHAMINI MCHANGO MKUBWA WA TAIFA HILO MATIKA MAENDELEO
15 hours ago
Wazalendo 25 Blog
Biashara : NMB Yaleta Nondo za Pesa kwa Watanzania
3 days ago
BUKOBAWADAU
Mushemba Foundation Yagusa Maisha ya Wengi Yatoa Misaada Kuelekea Krismasi
3 weeks ago
SUFIANIMAFOTO
BRAC MAENDELEO YAJIZATITI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA VIJANA NCHINI
2 months ago
Blogu ya Wananchi
3 years ago
Mwanaspotimwanzo
Kisa Simba, Yanga yamsimamisha mwanasheria wao
4 years ago
Mwananchimwanzo
Magufuli awatuliza wabunge nafasi za uwaziri
4 years ago
JESTINA GEORGE
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
5 years ago
LUKAZA
Premier Bet waja kivingine na Footbal Jackpot King na Cash Out
5 years ago
Chadema Blog
Hotuba ya Lissu; azungumzia kukoma Ubunge, atangaza hatua zinazofuata
5 years ago
Masama Blog
Canon IR-2525 Treiber Drucker Download
6 years ago
EMMANUEL SHILATU
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku
6 years ago
JUMA MTANDA
MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA !
6 years ago
AUDIFACE JACKSON BLOGSPOT
6 years ago
BongoClan™
PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA HOMETHEATER KUTOKA BONGODECO,PIGA 0658184797 / 0752184797
6 years ago
HANDENI KWETU
Muriya: Makazi yetu Oman ni fursa za kiuchumi kwa watu wote
6 years ago
Sports & Entertainment Blog
Huu ndio mpira utakaotumika Kombe la Dunia 2018
7 years ago
PropertyFinder.co.tz - Tanzania property and accommodation directory | Listings from LICENSED real estate agents (zamani TZadverts.com)
Shop To Let located at corner Congo and Muhoro St. Kariakoo. (USD 0)
7 years ago
dj sek
PIKIPIKI YAZUA HOFU BAADA YA KUTELEKEZWA MWAKA MZIMA JIJINI DAR ES SALAAM, UKIIKARIBIA, IKIIGUSA INAJIWASHA POLISI WAGWAYA KUIPELEKA KITUONI
8 years ago
Mbeya Yetu
TIBA YA MAGONJWA YAKO NA MATATIZO MBALIMBALI SASA HII HAPA BEI NAFUU SOMA HAPA KWA MAKINI
8 years ago
JANJARUKA
KAHABA MJAMZITO ANASWA AKILIWA URODA NA MCHUNGAJI
8 years ago
Raia Mwema | Gazeti la Tanzania lenye habari na makala mbalimbali
HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
Mwanzo - BBC Swahili
JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Home
Show 5
Show All
Popular Posts
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2012 HAYA HAPA
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa leo ametangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2012 uliofanyika...
WANACHAMA WA FREEMASON TANZANIA HAWA HAPA
Sir Andy Chande akiwa na wenzake wakipanda Miti jijini Tanga kama moja ya shughuli zao za kijamii Tanzania ina wanachama hai...
PICHA ZA NGONO TANZANIA ZINAHAMASISHWA NA MASTAA WA BONGO?.
Kadri siku zinavyozidi kwenda vinaibuka vyanzo kibao vinavyosababisha kushamiri kwa ngono za wazi mbele ya maelfu ya wananchini wa T...
Hizi hapa Staili mbalimbali za Mapenzi
Nimepita Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi staili nzuri saa ya kufanya mapenzi, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Mim...
Picha hizi za Wema Sepetu akipata Penzi Moto la Diamond ndio zinakimbiza Instagram na Mitandao Yote
Dayum ! Wema Sepetu is showing off a new bald look. Wema Sepetu with her One & Only Naseeb Abdul ‘Diamond Platnum...
© Copyright
EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Post a Comment