Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Taifa Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF), Chadrick Komba akifafanua jambo wakati wa warsha iliyoandaliwa
na shirika hilo kwa ajili ya mahakimu na wanasheria kutoka Manispaa ya Temeke
jijini Dar es Salaam.
Hakimu wa
Mkuu Mkazi Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Aziza Kalli akichangia mada katika
semina ya iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa
ajili ya Mahakimu, Wanasheria na kufanyika jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Taifa Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF), Chadrick Komba akifafanua jambo wakati wa warsha iliyoandaliwa
na shirika hilo kwa ajili ya mahakimu na wanasheria kutoka Manispaa ya Temeke
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Matelekezo wa NSSF, Shabani Mpendu na
Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo. (Picha na Francis Dande)
Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo akitoa mada wakati wa
warsha iliyowakutanisha wadau wa sheria.
Washiriki.
Meneja
Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sosthenes Nguma (kulia)
akifuatilia mada katika warsha hiyo.
Credits: Habari Mseto blog
Post a Comment