Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Waziri wa
Zamani wa Kazi ,Marehemu Balozi Alfred Tandau wakati wa mazishi
yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Marehemu Alfred Tandau ambaye alishika nyadhifa mbalimbali serikalini alifariki tarehe 30 Mwezi Aprili wiki iliyopita.
Loading...
Post a Comment