Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri Fatma Ferej, Waziri Juma Duni na Waziri Teresiya Wafika Bandarini kuona Unga Mbovu Ulioingizwa Nchini mwaka Jana na Mfanyabiashara

 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Ferej (kushoto)Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais inayoshughulikia Mazingira Tanzania Bara Mhe Teresiya Havisa, waiwasili katika viwanja vya kuhifadhia makontena bandari ya Zanzibar kuangalia, unga mbovu ulioko katika bandari hiyo ulioingizwa Nchi mwaka jana mwezi wa Mei 2012
Makontena 30 yakiwa katika bandari ya Zanzibar yamezuiliwa mwaka jana Mwezi wa Mei 2012, yaliokuwa na Unga Mbovu ulioingizwa Nchi na Mfanyabiashara kwa ajili ya matumizi kwa Wananchi, ulizuiliwa kutokana na kuharibika na haufai kwa matumizi ya binaadamu.ukisubiri hatuwa ya kuuangamiza.  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais inayoshughulikia Mazingira Tanzania Bara Mhe Teresiya Havisa, akisalimiana na Mrajisi wa Bodi ya Madawa Zanzibar Dkt. Burhani Othman, alipowasili katika maeneo ya kuhifadhia makotena kuangalia Unga ulioharibika, akiongozania na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Ferej.
Mrajisi wa Bodi ya Madawa Zanzibar Dkt. Burhani Othman, akitowa maelezo ya Ungu Mbovu ulioko katika bandari ya Zanzibar kwa Ujumbe wa Mawaziri wa Mhe. Fatma Ferej, Mhe. Teresiya Havisa  na Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni.wakiwa katika eneo lilohifadhiwa makontena hayo katika bandari ya Zanzibar jumla ya makontena 30 yakiwa na unga huo.kulia Naibu Katibun Mkuu Mazingira Dkt. Islam.
Mrajisi wa Bodi ya Madawa Zanzibar Dkt. Burhani Othman, akitowa maelezo ya Ungu Mbovu ulioko katika bandari ya Zanzibar kwa Ujumbe wa Mawaziri wa Mhe. Fatma Ferej, Mhe. Teresiya Havisa  na Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni.wakiwa katika eneo lilohifadhiwa makontena hayo katika bandari ya Zanzibar jumla ya makontena 30 yakiwa na unga huo
Waheshimia wakienda kuangalia unga huo katika moja ya Makontena hayo katika bandari ya Zanzibar.
Unga ukiwa katika Kontena ukiwa umeharibika na kutofaa kwa matumizi ya Binaadamu kwa Chakula, yakiwa katika bandari ya Zanzibar yakisubiri hatua za kuharibiwa na Taasisi husika.  



Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top