Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo wakati alipotembelea sehemu za Kihistoria zilizopo katika mji wa Beijing nchini China kiwa katika ziara ya kiserikali na ujumbe wake,[Picha na Ramadhan Othman,China.]
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mw3amamwema Shein,akiangalia kitabu wakati alipotembelea makumbusho ya kihistoria katika Mji wa Beijing nchini China,katika ziara ya Kiserikali kwa mualiko wa serikali ya Jamhuri ya Watu wa China,(kulia) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar,Bibi Chen Qiman.[Picha na Ramadhan Othman,China.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na ujumbe wake wakitembelea sehemu mbali mbali za Kihistoria zilizopo katika makumbusho ya Mji wa Beijing nchini China kiwa katika ziara ya kiserikali,[Picha na Ramadhan Othman,China.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana naMkewe mama mwamamwema Shein,katika viwanja vya Makumbusho ya Kihistoria nchini Nchini China pamoja na ujumbe waliofuatana nao katika ziara ya kiserikali,[Picha na Ramadhan Othman,China.]
Pichani inayoonekana ni moja wapo ya Majengo yaliyokuwemo katika Eneo kubwa sana la kumbukumbu za Kihistoria katika Mji wa Beijing,ambapo wananchi wa China wakiwa na ukarimu wa aina yake,[Picha na Ramadhan Othman,China,]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiuliza swali kwa waongozaji na watoa maelezo katika sehemu za kihistoria zenye kumbukumbu nyingi,zinazopelekea wageni wa aina tofauti kutembelea katika mji huo wa Beinjing nchini China.[Picha na Ramadhan Othman,China.]
Post a Comment