Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Baada ya mlipuko wa bomu Arusha juzi, Uchaguzi wa kata nne wote wafutwa

Na Mwandishi Wetu, Arusha

KUTOKANA na mlipuko wa kitu kinachohisiwa kuwa ni bomu, uchaguzi wa Kata nne jijini Arusha uliopangwa kufanyika leo umeahirishwa na kupangwa tena kufanyika Juni 30 mwaka huu.

Mlipuko uliotokea jana jijini Arusha, ndivyo ilivyoleta hali hiyo ya kumwaga damu.
Uchaguzi huo umeahirishwa huku mlipuko wa jana ambao ulitokea wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maeendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anafunga mkutano wake, ulisababisha kuzuka kwa taharuki kubwa katika mkutano huo wa kampeni.

Watu kadhaa wamehofiwa kufa katika mlipuko huo, ambao umezidi kuomnyesha kuwa hali ya amani kataika Taifa hili la Tanzania inazidi kutoweka.

Mwandishi wetu jijini Arusha, alisema kuwa uchaguzi huo umeahirishwa. Bado tunafuatilia kwa kina mtifuano huo sambamba na hali za majeruhi na waliopoteza maisha.

Mlipuko huo ulitokea na kuleta wasiwasi mkubwa katika kazi za kijamii, kama vile mikutano na makongamano pale yanapohusisha watu wengi na kuleta hofu kubwa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top