Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS: .... SCANIA LAGONGA BODABODA, TABATA

Dar es Salaam-20130615-00277.jpg

Dar es Salaam-20130615-00285.jpg


Na Ammar Ruweih

Gari aina ya Scania limegongwa na boda boda maeneo ya TOT Tabata,nasema limegongwa kwasababu boda boda ilikua mbio sana na kuliingia Scania hilo lililokua linakata kona, na dereva wa boda boda amechunika kidooogo lakini abiria wa boda boda alijibamiza kichwa na barabara na kupasuka eneo kubwa la paji la uso,na hali yake si nzuri, dada mmoja ambae alishuhudia ajali hiyo anaefanya biasharazake ndogo ndogo eneo la tukio amesema "Dereva wa boda boda amekosa umakini wakati akiendesha pikipiki yake,na amewashauri nadereva wa boda boda kua makini pindi wawapo barabarani.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top