|
Aliyekuwa
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Channelten Bw.Charles Hilila amefariki
dunia saa saba usiku katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambako
alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya homa ya Malaria
iliyokuwa ikimsumbua kwa muda wa siku chache zilizopita...MUNGU AILAZE
MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU CHARLES HILILA ,AMENI |
on Wednesday, June 19, 2013
Post a Comment