Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Cheki Jinsi Timu ya Taifa 'Taifa Stars' na Timu Ya Taifa ya Ivory Coast Wakijufua Uwanja Mpya wa Taifa Jijini Dar es Salaam Tayari Kwa Mtanange Wao na Ivory Coast




Simon Msuva kushoto akikabiliana na Aggrey Morris





Mchua misuli wa timu ya soka ya taifa ya Ivory Coast, kulia akimnyoosha viungo kiungo wa timu hiyo, Yaya Toure wakati wa mazoezi yao jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kesho wa Kundi C dhidi ya wenyeji Tanzania kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil utakaopigwa kuanzia saa 9:00 Alasiri kwenye Uwanja huo huo.






Bakari Kone


Wachezaji wa timu ya Taifa Taifa Stars Kevin Yondan kulia na Amri Kiemba kushoto


Kutoka kulia Khamis Mcha 'Vialli', Simon Msuva, Frank Domayo, Mwinyi Kazimoto na Vincent Barnabas


Mbwana Samatta na Kevin Yondan walitanua vifua juu ya goli kwa mazoezi ya viungo



ivory coast wakijifua


Wachezaji wa timu ya taifa ya ivory coast Kutoka kulia Abdul Razak, Bakari Kone na Gervinho.Picha Zote na Habari na Mdau Bin Zubeiry
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top