Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK.Shein afanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini

 


IMG_2068
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kumuaga Rais
leo asubuhi baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. [Picha naRamadhan Othman, Ikulu.]
 IMG_2083
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na   Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr.Ad Koekkoek,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhi
kuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi . [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
IMG_2102
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na   Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Dr.Ad Koekkoek,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais
baada kwa  kumaliza muda wake wa kazi nchini leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top